Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA  CHASHIRIKI MAONESHO YA TCU MNAZI MMOJA


Mkuu wa Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Dr. Tumaini Katunzi akisaini kitabu Cha Wageni wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.


Mkuu wa Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Dr. Tumaini Katunzi akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Masoko ya chuo hicho wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.


Mkuu wa Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, Dr. Tumaini Katunzi, akifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Mhadhiri Msaidizi na Mkuu wa Kitengo Cha Mahusiano na Masoko Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika Bw.Eusebius Mwisongo,akitoa maelezo kwa mwanafunzi ambaye alitembele banda la chuo hicho ilikujua kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo wakati wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.


TIMU ya Masoko Chuo Cha Takwimu Mashariki mwa Afrika wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com