Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

YANGA SC YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU SPORTPESA, YALAMBA BILIONI 12



*******
Rasmi Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imesaini mkataba wa Kihistoria na Young Africans SC wa Miaka Mitatu wenye thamani ya Sh. BIllion 12.335 kama mdhamini mkuu.
Yanga Sc imesaini mkataba huo mara baada ya mkataba wa awali kumalizika.

Fedha hizo Yanga Sc itakuwa inalamba Bilioni 4 kwa kila mwaka .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com