Wataalamu wa afya na saikolojia wanaeleza uraibu wa video za ngono ni moja kati ya sababu zinazochangia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa, hasa kwa wanaume.
Inaelezwa kuwa mraibu wa picha za utupu anapokosa suluhisho la hisia zake kwa haraka anaweza kujikuta anajichua na akiendelea na tabia hiyo huweza kujikuta katika uraibu wa kitendo hicho hali inayosababisha kukosa hisia za kufanya tendo hadi atakapoangalia picha au video hizo. Pia anashindwa kudumu kufanya tendo la ndoa hadi aangalie picha au video za ngono.
Social Plugin