Makarani wa sensa wilayani Butiama mkoani Mara wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mtandao wa hatua inayowalazimu kupanda juu ya miti na vilima ili kuweza kupata mawasiliano.
Mwenyekiti wa kamati ya sensa wilayani humo Moses Kaegele ameyasema hayo katika kikao Cha dharura kujadili maendeleo ya shughuli hiyo huku akiitaka kamati kusaidiana kutatua tatizo hilo.
Chanzo - Radio Free Africa
Social Plugin