Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tanzia : AFISA UHAMIAJI MKOA WA SHINYANGA RASHID MAGETTA AFARIKI DUNIA


Ofisa Uhamiaji wa mkoa wa Shinyanga, Rashid Salum Magetta amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.

Mmoja wa maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Shinyanga amesema Afande Rashid Salum Magetta amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa Agosti 26,2022  wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Bugando Mkoani Mwanza.

R.I.P Afande Rashid Salum Magetta.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com