Bondia wa Tanzania Yusuf Lucasi Changalawe akipambana na bondia kutoka Scotland Sean Lazzareni katika nusu fainali ya ndondi Michezo ya Jumuiya ya Madola uzani wa 75kg-80kg (Light Heavweight) ukumbi wa NEC jijini Birmingham, Uingereza, ambapo alishindwa kwa pointi 1- 4 na kuambulia medali ya Shaba. Picha na Issa Michuzi, Birmingham.

Social Plugin