Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CHALAMILA ATUA RASMI KAGERA


Makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera kati ya Meja Jenerali Charles Mbuge (kulia) na Albert John Chalamila (kulia) yakiendelea. Hafla ya makabidhiano kati yake na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Meja Jenerali Charles Mbuge leo Agosti 04, 2022 katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Picha na Mbuke Shilagi Kagera.
Kulia ni Meja Jenerali Charles Mbuge akisaini kitabu cha makabidhiano na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Albert John Chalamila akisaini.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Albert John Chalamila akizungumza
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera .
Picha na Mbuke Shilagi Kagera.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com