Live : RAIS SAMIA AKIWAAPISHA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA
Monday, August 01, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni kuanzia, hafla ya uapisho inafanyika leo Agosti 1, 2022 Ikuku jijini Dar es Salaam.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin