Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NILIPATA NG’OMBE WANGU WAWILI BAADA YA KUIBIWA

Ama kwa hakika kila mtu anapaswa kuheshimu mali ya mwenzake kwa vyovyote vile kwani ndiyo undugu unaohitajika. Kwa jina ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga. Nilikuwa mfanyabishara haswa wa kilimo.

Nilikuwa na ng’ombe wawili wa maziwa ambao nilikuwa napata faida nyingi kutokana na uuzaji wa maziwa kutoka kwa ng’ombe wale. Nilifanya pia ukulima wa nyanya lakini ule wa uuzaji maziwa ulikuwa na faida mingi sana kulinganisha na ukuzaji wa nyanya. Kazi hii iliniwezesha kulipia wanangu karo ya pale shuleni, kuwezesha wanangu kupata lishe bora na hata kufanya maendelea mengi pale nyumbani.

Watu wengi walitamania kazi yangu na hata wakati mmoja walitaka kujua nini ilikuwa siri yangu ya kupata pesa haswa katika kilimo na uuzaji wa maziwa. Wengi wao niliona kama wallikuwa ni mahasidi tu waluiotaka kunichunguza halafu mwishowe wangeleta madhara kwenye shughuli yangu ya ukulima.


 Ng’ombe wangu walikuwa wenye afya swala lililotokana na mimi kujua ni kipi haswa walihitaji ili kuleta faida tele katika suala zima la kutoa maziwa mengi. Siku moja niliamka na kupata zizi la ng’ombe langu lilikuwa wazi. Kufumba na kufungua macho hapakuwa na mifugo wangu hawa niliowategemea. Nilikumbwa na mshutuko wa moyo na hata nilidhani kwamba walikuwa tukaribu. Kumbe walikuwa keshaibiwa na hasidi wangu ambao hawakufurahikia kazi yangu ile ya ukulima.


Ama kwa hakika niulikuwa nawapenda wale mifugo wangu kwani faida waliyonipea ilikuwa ni kubwa ajabu. Niliripoti kwenye kituo cha polisi mjini Luanda kwa kuwa na imani kwamba polisi wangenisaidia kupata haki lakini kila mara walisema kwamba walikuwa wakifanya uchunguzi kubaini ni wapi walikuwa mifugo wangu. Ama kwa hakika sikuridhishwa na matamshi yale ya polisi kwani nilikuwa nikitaka mifugo wangu kwani nilikuwa nikipata hasara si haba. Mara Eunice akanielekeza kwa daktari Kiwanga ambapo aliniambia mwanamiti shamba yule angempa suluhisho la kutosha kupta wezi wale sugu. Nilimpigia daktari Kiwanga simu na kufika kwenye ofisi zake mjini Nakuru. Alinishugulika na kunipa ukakika kwamba baada ya siku mbile wezi wale wangepatikana.


Siku tatu baada ya kurejea nyumbani, niliitwa kwenye boma moja kwa uharaka. Nilipofika nilipata umati mkubwa wa watu nje ya boma la mtumishi wa Mungu. La kushangaza ni kwamba alikuwa ni pasta wa kanisa letu. Yeye ndiye alikuwa amewaiba mifugo wangu. Alisema kwamba alifanya vile kwa kuwa alitaka kuwatumia kulipa mahari yake. Umati ule ulimpiga kitutu. Niliwarejesha mifugo wangu ntumbani. Tangu siku ile hakuna yeyote anayethubutu kushika mali yangu. Pongezi sana daktari Kiwanga kwa usaidizi wako.


Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo. Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo. Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama maisha bora yenye matamanio.  Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com