RAIS SAMIA ASALIMIANA NA WANANCHI KIWIRA AKIELEKEA TUKUYU
Sunday, August 07, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kiwira Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Tukuyu tarehe 07 Agosti, 2022.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin