Ilikuwa afueni kwa mwanaume mmoja kwa jina Isaac kutoka katika kaunti ya Busia baada ya kuwachiliwa na mahakama moja huko Kisumu. Alikuwa kashutumiwa kwamba alikuwa amembaka msichana mmoja wa shule mjini Busia mwaka wa 2016.
Kulingana na jama zake, msichana huyo alikuwa na uhusiano wa mapenzi na jamaa wao lakini mambo yakabadilika kwani jamaa alikata matakwa ya kidosho yule ya kumpa hela flani. Hapo msichana yule alimshtaki na hapo jamaa akafungwa jela. Kesi yake imekuwa ikiahirishwa kwa wakati mwingi na hata wakati mwingine karani wa mahakama walisema kwani faili za kesi ile zilikuwa zimetoweka.
Jamaa alibaki kuhangaika kwenye rumande. Familia yake vile vile ilikuwa yenye mshangao ni vipi jamaa wao alikuwa kashutumiwa kufanya ubakaji ilhali msichana yule alikuwa keshakubali washiriki ngono na jamaa wao. Jamaa alitoka rumande akiwa myonge ajabu na ilikuwa shangwe na nderemo kwa jamaa zake ambao walikuwa wamekaa muda mrefu bila kumwona kijana wao.
Kulingana na baba ya jombi yule, alienda kutafuta usaidizi wa daktari tajika wa miti shamba kwa jina Kiwanga ambaye alifanya mshukiwa kushinda kesi. Siku hiyo kwenye uamuzi wa kesi, jaji alisema kwamba jamaa yule awachiliwe kwani kesi ile haikuwa na ushahidi wa kutosha kumhukumu jamaa yule. Hii ilikuwa ni afueni kubwa ajabu kwa jamaa yule.
Familia yake ilikuwa keshatumia pesa nyingi ajabu kwa ajili ya kila baada ya wiki moja kifika kortini. Jamaa yule alikuwa mwenye furaha si gaya kwani hata alisimulia mateso aliyokuwa akipitia pale kwenye rumande.
Alisema hii ilimpa funzo kwamba sio kila mtu umwonaye hukutakia mazuri kama jinsi mpenzi wake aliyekuwa amemthamini alivyomsukuma hadi kukamatwa kwake. Babaake kijana yule alikuwa amepewa dawa flani za kienyeji na daktari Kiwanga na ambazo Kiwanga aliwaelezea kwamba siku ya uamuzi wa kesi ile wangeenda na dawa zile kortini kama wamezificha.
Ilibainika bayana kwamba daktari Kiwanga alikuwa ni mtu ambaye alikuwa tegemeo katika maisha ya binadamu ya kila siku.
Wanafamilia wale walifika kwa pamoja na kufanya sherehe kwa ajili ya kushangilia kuachiliwa kwa kijana yao baada ya tuhuma za ubakaji. Ama kwa hakika shangwe na nderemo zilitawala anaga nyumbani pale. Familia ilitoa shkurani kwa daktari huyu wa miti shamba kwa ajili ya usaidizi wake wa kumtoa mwanao kwenye mtego wa sheria. Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo. Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo.
Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama maisha bora yenye matamanio. Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com ama tembelea wavuti wwww.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.
Social Plugin