Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

GOLD FM NOMA SANA... HII HAPA NGOMA YAO KALI BALAA "GOLD FM 1st ANNIVERSARY ANTHEM"


Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kufanya kazi kwa kituo bora cha habari Kanda ya ziwa GOLD FM, watangazaji kwa kushirikiana na baadhi ya wasanii kutoka Manispaa ya Kahama wameandaa wimbo maalum kuzungumzia makubwa ambayo redio GOLD FM imefanikiwa kuyafanya katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka mmoja tu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com