HAYA HAPA MAJINA YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI WA CCM WILAYA NCHI NZIMA
Wednesday, September 28, 2022
Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 ibara ya 82(1) ambapo mikutano mikuu ya wilaya itafanyika nchini kote Oktoba 1-2, 2022
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin