Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuwasili Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Kenya katika Sherehe za Uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto zilizofanyika kwenye uwanja wa Kasarani, Nairobi nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Rigathi Gachagua mara baada ya Sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi, nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022.
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto kabla ya uapisho Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na baadhi ya Marais wa nchi mbalimbali katika Sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi, nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Kenya mara baada ya kumalizika Sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi, nchini Kenya tarehe 13 Septemba, 2022.
Social Plugin