RAIS SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II KATIKA JENGO LA LANCASTER, LONDON
Sunday, September 18, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyefariki tarehe 08 Septemba, 2022. Rais Samia amesaini kitabu hicho katika jengo la Lancaster (Lancaster House), London, Uingereza tarehe 18 Septemba, 2022.Picha na Jonathan Hordle/PA Media Assignments
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin