Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament - PAP ) unatarajiwa kufanyika kesho Jumatatu Oktoba 31,202 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika Midrand, Johannesburg Afrika Kusini.
Sherehe za ufunguzi wa Mkutano huo wa Bunge la Afrika utaongozwa na Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Mhe. Chief Fortune Charumbira ambapo pamoja na mambo mengine Wabunge kadhaa kutoka nchi mbalimbali wataapishwa kuwa Wabunge wa PAP kufuatia chaguzi zilizofanyika katika majimbo kadhaa barani Afrika.
Tazama ratiba hapa
Social Plugin