Anaitwa Solomon Ogbeide
ambaye anawakilisha Esan Igueben katika jimbo la Edo huko Nigeria. Solemzo P ni
mwanamuziki wa miondoko ya Afro Hippo pamoja na Afro Beat ambaye makazi yake ni
nchini Marekani.
Licha ya kufanikiwa
kufanya muziki na kufanikiwa kuachia ngoma kadhaa miaka kadha nyuma Solemzo
ameamua kurejea tena kufanya muziki rasmi akiwa na nia ya kufanya mambo makubwa
zaidi huku moja ya msanii ambaye amemvutia sana ni Wizkid kutoka Nigeria
Solemzo P ameachi ngoma
yake mpya aliyoipa jina la Issues ambayo unaweza kufurahia kupitia youtube vile
vile kupitia instagram yake @solemzo kwa kuwa karibu zaidi na muziki wake.
Social Plugin