MAHAFALI YA 13 YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI NYANDEKWA KAHAMA YAFANA
Sunday, October 30, 2022
Jumla ya Wanafunzi 90 kati ya
wavulana 39 na wasichana 51 wamehitimu elimu ya Kidato cha Nne mwaka 2022 katika
shule ya Sekondari Nyandekwa wilayani Kahama Mkoa ni Shinyanga.
Akizungumza wakati wa mahafali
Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyandekwa Melkisedeck Choya amesema Shule hiyo ambayo ni ya kutwa na ya mchanganyiko, iliyoanzishwa
mwaka 2007 ina jumla ya wanafunzi 429.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin