Wagombea watatu wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiwa katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga kwenye Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya unaofanyika leo Jumamosi Oktoba 1,2022. Kushoto ni Mokhe Warioba Nassor, Pendo John Sawa (katikati) na Magile Anold Makombe (kulia).
Makada hao wa CCM wanachuana vikali kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abubakar
GulamHafiz Mukadam.
PICHA ZOTE NA MARCO MADUHU
Endelea Kufuatilia Malunde.com au Pakua App yetu <<HAPA>> tukutumie matokeo moja kwa moja kwenye simu yako mara tu yakitangazwa.
Wajumbe wa Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya Shinyanga Mjini wakiendelea kupiga kura
Wajumbe wa Mkutano Maalumu wa Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti wilaya Shinyanga Mjini wakiendelea kupiga kura
Social Plugin