Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

WAKALI WA KIKAPU NCHINI KUCHUANA UFUNGUZI WA CRDB BANK TAIFA CUP 2022


Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi jezi kwa wachezaji walioibuka "MVPs" katika 'CRDB Bank Taifa Cup' kwa mwaka 2020 na 2021 ambao wataunda timu zitakazochuana hapo kesho Oktoba 22, 2022 kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'. Hafla ya kukabidhi jezi hizo imefanyika leo kwenye makao makuu ya Benki ya CRDB, Upanga jijini Dar es salaam. Wachezaji hao ni Rehema Weston na Baraka Sadiki walio upande wa kulia (MVPs 2020), Noela Renatus na Alinani Thomas (MVPs 2021).
Katibu Mkuu wa TBF, Mwenze Kabinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji walioibuka "MVPs" katika 'CRDB Bank Taifa Cup' kwa mwaka 2020 na 2021 ambao wataunda timu zitakazochuana hapo kesho Oktoba 22, 2022 kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam, ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Rehema Weston (MVP 2020) ambaye ataiongoza timu Rehema katika mchezo utakaochezwa hapo kesho Oktoba 22, 2022 kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Baraka Sadiki (MVP 2020) ambaye ataiongoza timu Baraka katika mchezo utakaochezwa hapo kesho Oktoba 22, 2022 kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Alinani Thomas (MVP 2021) ambaye ataiongoza timu Alinani katika mchezo utakaochezwa hapo kesho Oktoba 22, 2022 kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi jezi Noela Renatus (MVP 2021) ambaye ataiongoza timu Noela katika mchezo utakaochezwa hapo kesho kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay, jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ufunguzi wa msimu wa tatu wa 'CRDB Bank Taifa Cup 2022'.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com