KATAMBI AZINDUA MPANGO WA MAJUKWAA YA WANAWAKE NA WASICHANA WENYE ULEMAVU
Thursday, October 20, 2022
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobass Katambi amezindua Mpango wa Majukwaa ya Wanawake na wasichana wenye ulemavu, Katika Hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Leo Oktoba 20, 2022.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin