WABUNGE WAWASILISHA MAONI KUHUSU MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BUNGE LA AFRIKA 'PAP'
Wednesday, October 26, 2022
Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Seneta. Chief Fortune Charumbira akiongoza Mkutano wa Bunge leo Jumatano Oktoba 26,2022 katika ukumbi wa Bunge la PAP Midrand, Johannesburg Afrika Kusini ambapo Wabunge kupitia Kanda mbalimbali wamewasilisha Maoni yao kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Bunge la Afrika Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin