Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB lenye lengo la kuunga mkono maendeleo katika sekta ya afya kwa kuhamasisha uchangiaji damu salama kwa ajili ya wahitaji wa damu katika hospitali ya Mkoa wa Shinyanga pamoja na kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linaendelea katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga.
Mamia ya wananchi wa mkoa wa Shinyanga na mikoa jirani wamejitokeza katika tamasha hilo wakishuhudia mbio za baiskeli, mpira wa miguu na pete na burudani mbalimbali.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Tazama matukio hapa chini
Social Plugin