Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

FILAMU MTAA KWA MTAA YATUA MJINI SINGIDA


Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Gabriel Hoka akifafanua jambo wakati wa Kikao cha Wadau wa Filamu Mkoani Singida ulioenda sambamba na upokeaji wa Filamu kwaajili ya Tuzo za Filamu 2022

Afisa Maendeleo ya Filamu Irene Ngao akiongea wakati wa Kikao cha Wadau wa Filamu Mkoani Singida ulioenda sambamba na upokeaji wa Filamu kwaajili ya Tuzo za Filamu 2022


Mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji (TDFAA) Singida Edward Mushi akieleza masuala ya Waigizaji katika tasnia ya Filamu, Mkoani Singida.


Baadhi ya Wadau wa Filamu wa Mkoa wa Singida wakifuatilia mijadala ya Kikao pamoja na kujaza Fomu za Tuzo za Filamu 2022

................................

Kamati ya Tuzo imefika Mkoani Singida Oktoba 25, 2022 kwa lengo la kukusanya Filamu za Tuzo msimu wa Pili 2022. Pamoja na mambo mengine imepata fursa ya kuhamasisha Sanaa ya Filamu Mtaa kwa Mtaa kwa Wadau pamoja na kujadili fursa na changamoto za tasnia hiyo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com