Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NAIBU WAZIRI MASANJA AKITEMBELEA MABANDA MBALIMBALI KATIKA ONESHO LA S!TE


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa urembo wa Kimasai alipotembelea Banda lonaloonyesha Utamaduni wa Kimasai katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akivishwa kofia na mmoja wa washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili wakati wa kutembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya pamoja na washiriki wa Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili alipotembelea mabanda Mlimani City jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara yake alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili Mlimani City jijini Dar es Salaam

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com