MGOMBEA CCM AJIMWAMBAFAI ANA NGUVU ZA KIUME WAMPE KURA
Saturday, October 01, 2022
Mgombea wa nafasi ya mjumbe wa halmashauri ya CCM wilaya ya Dodoma Chris Madaha amewavunja mbavu wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya baada ya kuwaomba wamchague kwa sababu ana nguvu za kiume.
“Ndugu wajumbe, mimi nimepewa namba mbili ambayo ni namba ya ushindi, lakini nina nguvu za aina mbili ambazo ni nguvu za kimwili na kiume, nipeni kura zenu,” amesema Madaha.
Social Plugin