TANESCO SHINYANGA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWAUNGANISHIA HUDUMA YA UMEME WANANCHI WALIOTUMA MAOMBI KUPITIA NI-KONEKT
Thursday, October 06, 2022
Shirika la
Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limeadhimisha Wiki ya Huduma kwa
Wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme wateja wake walioomba huduma ya umeme
kupitia mfumo wa NI-KONEKT.
TANESCO
Shinyanga imetoa huduma hiyo Oktoba 5,2022 katika maeneo ya Ibadakuli,Kizumbi, Ngokolo katika
Manispaa ya Shinyanga.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin