Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Live : MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA 'MJADALA KUHUSU MABADILIKO YA KANUNI ZA BUNGE'


Fuatilia matukio yanayoendelea katika Kikao cha nne cha Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP) Alhamisi Novemba 3,2022 ambapo mjadala unaoendelea ni Kuhusu Mabadiliko  ya Kanuni za Bunge la Afrika.

Discussion on amendment of PAP rules of procedure
👇👇

Tazama Matukio katika Picha - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Sheria za Bunge la Afrika (PAP) akiwasilisha taarifa kuhusu Mabadiliko ya Kanuni za Bunge la Afrika leo


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com