Live : MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA UKIENDELEA ...MJADALA KUHUSU RIPOTI YA KAMATI YA UKAGUZI WA HESABU ZA UMMA
Monday, November 07, 2022
Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament - PAP) unaendelea leo Jumatatu Novemba 7,2022 ambapo mchana huu Wabunge wanajadili Ripoti ya Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin