Nakumbuka siku moja
nilikutana na mama mmoja anapika mgahawa, nikaenda taratibu ili kuomba kazi
pale, mama alinikaribisha kama mteja.
Nikamuita pembeni
nikamueleza shida yangu yule mama
hakusita akaniambia niende kesho yake, na kweli asubuhi ilipofika nikajiandaa
kuelekea kwa yule mama ntilie.
Alinipokea na kuanza kazi
siku ile ile, kwa siku nilikuwa napewa Tsh3,000, ilikuwa ni fedha ndogo kwangu
ila niliendelea kufanya hivyo hivyo maana nilikuwa na shida na isitoshe maisha
ni magumu.
Unajua kuacha kazi ni
rahisi sana ila kuja kupata kazi nyingine ndio huwa ngumu hasa kwa sisi watu
ambao hatujaenda shule na kupata taaaluma au ujuzi wowote.
Jioni moja nilikuwa natokea
kazini kuelekea nyumbani, kabla sijafika nikakutana na dada anatoka kazini kwao
nikamsimamisha nikamueleza jinsi kazi yangu ilivyo na changamoto hasa upande wa
malipo.
Yule dada akanipa namba
yake ya simu nimtafute baadaye, nilipofika nyumbani nikapiga ile namba
nikaongea naye, akanielekeza nikaenda, nilipofika pale nikampigia simu akatoka
akanielekeza niende nikamwone meneja wa pale kazini.
Nilifika nikamueleza shida
yangu, akanielekeza nije kesho asubuhi ili nimuone nijue utaratibu wa pale,
asubuhi kulipokucha nikaelekea hadi pale kazini, alinipokea vizuri nikaanza
kazi.
Nilimshukuru sana yule
dada, nikaendelea kufanya kazi vizuri na hela napata kwa wakati baada ya miezi kadhaa Bosi alianza kunicheleweshea mshahara, muda mwingine
hanipi kabisa.
Nikaendelea kufanya kazi
ili nisikose kazi, siku zinavyozidi kwenda nilichoka, nikajiuliza kwanini mimi
tu mbona wengine hawafanyiwi hivyo?, mbona wenzangu wanalipwa mshahara wao kwa
wakati?.
Katika kuperuzi katika
mitandao ya kijamii, ndipo nikakutana na tovuti ya Dr. Kiwanga ambayo ni www.kiwangadoctors.com, hapo niliweza kujua kuwa anatoa huduma ya kuweka mambo sawa
katika kazi na biashara.
Basi niliamua kuchukua
hatua ya kuwasiliana naye kupitia namba yake, +254 769404965, nilimueleza kila
kitu ambacho kilikuwa kinaendelea katika maisha yangu.
Nashukuru aliweza
kunifanyia dawa mara moja, baada ya siku tatu Bosi wangu aliniita na kunipa
mshahara wangu wote, na tangu wakati huo nimekuwa nikilipwa mshahara kwa
wakati.
Ukiachana na hilo, Dr.
Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika
michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro
kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Vile vile anatibu magonjwa
kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawasiliano
zaidi piga simu +254 769404965.
Mwisho.
Social Plugin