Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLUSEGUN OBASANJO AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA...AHIMIZA AMANI, USALAMA NA UTULIVU AFRIKA

Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022 katika Ukumbi wa PAP uliopo Midrand Afrika Kusini.  Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022 

Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo ambaye ni Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Afrika (AU) katika Pembe ya Afrika amelihimiza Bunge la Afrika kuchukua jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama, amani na utulivu barani Afrika huku akitaka Bunge la Afrika kurudisha mamlaka yake na nafasi yake kama sauti ya raia wa Afrika katika wakati ambapo bara la Afrika linapambana na changamoto nyingi, haswa katika nyanja ya amani na usalama. 

"Bunge hili ni chombo muhimu sana katika bara la Afrika. Mna mamlaka na hampaswi kuruhusu mtu yeyote kuingilia mamlaka yenu Kwa mfano mnaweza kujadili, kuchunguza na kutoa mapendekezo kwa vyombo vya sera.  Kuna mengi ya kufanya ikiwa tunataka kupata amani na chombo hiki kina jukumu kuu la kutekeleza",amesema Mhe. Obasanjo.

TAZAMA HAPA

Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira (kushoto) akimkaribisha Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo kuhutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo akihutubia Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022
Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Mhe. Fortune Charumbira akizungumza kwenye Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022

Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Mhe. Fortune Charumbira akizungumza kwenye Mkutano wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), leo Jumanne Novemba 8,2022.
Makamu wa Rais wa Pili wa Bunge la Afrika (PAP), Dk. Ashebir Woldegiorgis Gayo akizungumza kwenye Mkutano wa Bunge la Afrika

Picha baada ya mkutano wa Bunge la Afrika

Picha na Kadama Malunde - Midrand Afrika Kusini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com