Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony akizungumza wakati wa kufunga Jukwaa la Sekta ya uziduaji mwaka 2022.
Na Marco Maduhu, DODOMA
JUKWAA la Sekta ya uziduaji lililoandaliwa na HakiRasilimali, limehitimishwa leo huku wadau wakiwemo madiwani ambao wanatoka kwenye maeneo ya uchimbaji madini, wakipongeza kupanua uelewa katika ya Sekta ya uziduaji.
Jukwaa hilo la sekta ya uziduaji lilianza jana Novemba 24, 2022 na limehitishwa leo Novemba 25, huku mada mbalimbali zikiwasilishwa pamoja na kujadiliwa kwa lengo la kuikuza Sekta ya uziduaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony, akizungumza wakati wa kufunga jukwaa hilo, amewashukuru wadau wote wa Sekta ya uziduaji kwa ushiriki wao muda wote ndani ya siku hizo mbili.
Nao wadau wa Sekta ya uziduaji akiwemo Diwani Faustine Shibiliti kutoka Kata ya Igalula wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wameshukuru kujumuika kwenye jukwaa hilo la uziduaji, ambalo wamesema limewaongezea uelewa zaidi kufahamu mambo mengi katika Sekta ya uziduaji ambayo inahusisha Madini, Mafuta na Gesi asilia.
Aidha, jukwaa hilo la uziduaji limeshirikisha wadau takribani 200 kutoka katika maeneo mbalimbali ambayo yanajihusisha na Sekta ya uziduaji, wakiwemo wawakilishi kutoka Serikali Kuu, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Asasi za Kiraia, Makampuni ya Madini, wachimbaji wadogo wa madini, wawakilishi kutoka katika jamii inayoishi maeneo ya migodi, wanataaluma na waandishi wa habari.
Lengo la jukwaa hilo la uziduaji ni kujadili, kubadilishana uzoefu na kujifunza kutoka kwa washiriki namna ya kuimarisha uwazi na uwajibikaji katika sekta ya uziduaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony akizungumza wakati akifunga Jukwaa la Sekta ya uziduaji mwaka 2022.
Diwani wa Kata ya Igalula wilayani Sengerema mkoani Mwanza Faustine Shibiliti akitoa shukrani kwa kupata elimu na kuongeza uelewa zaidi juu ya Sekta ya uziduaji.
Madiwani ambao wanatoka kwenye maeneo ya Sekta ya uziduaji wakiendelea kutoa neno la shukrani, kupata elimu katika Sekta ya uziduaji kupitia jukwaa za uziduaji.
Wadau wa Sekta ya uziduaji wakiwa kwenye jukwaa la uziduaji mwaka 2022.

Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony akipiga picha ya pamoja na wadau wakubwa wa jukwaa hilo la Sekta ya uziduaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa HakiRasilimali Adam Anthony, akipiga picha ya pamoja na Bodi ya HakiRasilimali.
Picha ya pamoja ikipigwa kati ya wadau wakubwa wa Jukwaa la Sekta ya uziduaji na wafanyakazi wa HakiRasilimali.
Picha za Pamoja zikiendelea kupigwa na waongoza mjadala kwenye jukwaa hilo la Sekta ya uziduaji.
Picha za Pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za Pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za Pamoja zikiendelea kupigwa.
Social Plugin