Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuwasili mkoani Kagera, Bukoba kufuatia ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Edwin Bitegeko ambaye amenusurika katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Lin Zhang ambaye amenusurika katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Social Plugin