RAIS MSTAAFU WA NIGERIA OLUSEGUN OBASANJO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA PAP CHIFU CHARUMBIRA
Tuesday, November 08, 2022
Rais mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo (kushoto)amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Bunge la Afrika (Pan African Parliament – PAP), Mhe. Chifu Fortune Charumbira kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Bara la Afrika leo Jumanne Novemba 8,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Mhe. Obasanjo leo amehutubia Bunge la Afrika. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin