NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba imeendelea kutoa dozi ndani ya ligi kuu baada ya kufanikiwa kuwanyuka Namungo Fc 1-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo ambayo Simba alionesha kandanda safi kupitia kwa mastaa wao walipata nafasi nyingi za kufunga lakini walifanikiwa kupata bao moja tu ambalo lilifungwa dakika za mwanzo kipindi cha kwanza.
Social Plugin