*******************
TAARIFA ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Issessanda Kaniki ameeleza kuwa kumetokea vifo vya watu watatu katika ajali ya ndege ya Precision Air ambayo imetokea asubuhi ya- leo Jumapili Bukoba Kagera.
Kwa mujibu wa Mganga Mkuu huyo, wawili kati ya hao waliofariki ni wanaume na mmoja ni mwanamke huku akiongeza kuwa juhudi za uokozi na msaada kwa majeruhi zinaendelea.
Social Plugin