NYOTA wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amewaaga rasmi mashabiki wa timu hiyo huku ikielezwa anajiunga na Azam FC.
Kupitia barua iliyochapishwa na nyota huyo kupitia mtandao yake ya kijamii aliandika;-
Wakati Feisal akiaga taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo iliendelea kusisitiza kwamba nyota huyo bado ni mali yao kwani ana mkataba hadi kufikia Mei 30, 2024 na tayari walianza mazungumzo na wawakilishi wake wakiongozwa na Mama yake mzazi ili kuboresha maslahi yake.
Social Plugin