MCHEZAJI wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amefanikiwa kunyakua kiatu cha dhahabu kwenye michauno ya kombe la Dunia kwa kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa michuano hiyo kwa kufunga mabao nane.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin