Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo ( wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga alipotembelea Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club - SPC) leo Jumatatu Desemba 5,2022

Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde (kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) Kanda ya Ziwa akizungumza jambo na Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alipotembelea Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club - SPC) leo Jumatatu Desemba 5,2022
Mwandishi wa Habari wa Redio Kwizera Mkoa wa Shinyanga , Amos John maarufu MC Mzungu Mweusi akizungumza jambo na Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo
Social Plugin