Iwe kwa kujifurahisha au kwa matumaini ya kuanzisha mtindo mpya, mrembo aliyetambulika kama Bucky Bucky, bila shaka amewaacha watu wengi wakiangua vicheko mtandaoni.
Wakati kusuka nywele kwenye kichwa cha mtu imekuwa kawaida tangu zamani, inaonekana kwamba Bucky Bucky anataka kuunda mtindo wake mwenyewe wa kipekee.
Katika video iliyowekwa kwenye ukurasa wake wa Instagram, anaonekana akiwa na nyusi iliyosongwa kabla ya kuzichonga nywele nyingi zilizokuwa zinaegemea. Itazame video hiyo hapa
Social Plugin