Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TBS YATOA ELIMU KUHUSU USAJILI WA MADUKA YA CHAKULA NA VIPODOZI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Mkaguzi (TBS), Bw. Magesa Mwizarubi akitoa elimu kuhusu usajili wa maduka ya chakula na vipodozi sambamba na bidhaa zilizopigwa marufuku kwa wafanyabiashara wa Puma wilayani Ikungi.

Elimu hiyo pia ilitolewa katika maeneo ya stendi na soko la Ikungi mkoani Singida.Afisa Masoko (TBS) Bi Rhoda Mayugu akitoa elimu ya namna ya kupata alama ya ubora ya TBS kwa Wajasiriamali wadogo wa kata ya Puma Wilayani Ikungi- Singida

TBS inatoa leseni ya kutumia alama wa ubora kwa wajasiriamali wadogo bila gharama yoyote.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com