Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SIMBA SC YATAMBULISHA KOCHA MPYA

Roberto Oliviera Do Carmo.

Simba leo Januari 3, 2023 imemtangaza rasmi kocha wake mpya, Roberto Oliveira (69) kama kocha mkuu mpya klabuni hapo baada ya kocha huyo kuachana na waajiri wake wa zamani Vipers SC ya Uganda.

Oliveira ambaye ni raia wa Brazil, amepata mafanikio makubwa akiwa naKlabuya Vipers ya Uganda.
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu akisalimiana na Roberto Oliviera Do Carmo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com