Maisha bila mpunga wa kutosha hayasongi! Huyo babe
nyumbani sijui utampa nini za matumizi, mafuta ya gari, nauli za daladala na
vibomu vya hapa na hapa kwa washikaji.
M-Bet
inakupa mchongo wa wiki kukufanya ujae mifukoni na hizi game wiki hii
hazikuangushi!
Yanga watakuwa na kibarua kingine Jumatatu hii cha kujibu maswali
ya Ihefu leo
ambao watahitaji kuzipata alama tatu ili kusogea kwenye nafasi za juu zaidi mwa
msimamo, Azam watakipiga na Kagera Sugar.
Jumapili nayo ni ya moto, mzuka utakuwa kwenye mechi Simba waliouanza msimu huu vizuri kweli, watakuwa nyumbani dhidi ya Mbeya City.
Game zingine zitakazo kuwa
na mpunga mrefu Liverpool, Chelsea, Aesenal wanakipiga , Manchester atakiwasha
mbaya na zote ziko ndani ya site ya nyumba ya mabingwa.
Kama hiyo haitoshi M-Bet inakupa fursa
nyingine ya kupiga mtonyo wa maana kupitia M-Bet Cassino na kuna michezo ya kila
aina itakayokupa mitonyo ya maana bila wasiwasi.
Kuna michezo rahisi kama Speciman, Lucky Crumbling na mingine
kibao maarufu.
“Hii ni ya kwanza hapa M-Bet.Tumeamua kuwapa wateja
wetu uhuru wa kupata burudani na kushinda zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha
pesa,” anasema Mkurugenzi wa Masoko, Allen
Mushi.
M-Bet
ambayo ni mdhamini wa klabu ya Simba kwa udhamini wa miaka mitano mfululizo
wenye thamani ya Bilioni 26 inajulikana kwa kutoa mamilinionea kupitia Jackpot ya
Perfect12.
Moja ya hizo ni Perfect 12
jackpot ambayo inakuwezesha kushinda zaidi ya milioni 270 kwa buku tu.
Mrisho Selemani
Social Plugin