Meneja wa Diamondplatnuzm @sallam_sk amempa ushauri Bondia @k_mandonga asisindikize watu kwenye utajiri kwani umaarufu bila pesa ni kicheko
Sallam ameandika "Hongera @k_mandonga ila kuanzia sasa
USISINDIKIZE MTU KWENYE UTAJIRI, umaarufu bila hela ni kicheko baadae!! Pambano la leo umelitengenezea tension kubwa sana AFRIKA MASHARIKI, kuangalia LIVE ONLINE ilikuwa inacost
DOLLAR 2. Nakutakia kila la Heri katika safari yako"
Tazama hapa VIDEO MANDONGA akizungumza baada ya kumdunda Daniel WANYONYI wa Kenya kwa TKO, mtazame akiongea na waandishi
Social Plugin