Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, akisisitiza jambo wakati wa kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, akifafanua jambo wakati wa kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
Sehemu ya Wajumbe wa Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakiwa kwenye kikao kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24. Kikao hicho kimefanyika Januari 18, 2023 jijini Arusha ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
********************
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, leo Januari 18, 2023 ameongoza kikao cha Menejimenti kujadili Bajeti ya matumizi ya REA kwa Mwaka 2023/24.
Kikao hicho kimefanyika jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wakala la Wakala hiyo kitakachofanyika Januari 20, 2023.
REA imedhamiria kuendelea na utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati bora vijijini ikiwemo nishati ya kupikia.