Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KANISA KATOLIKI LATOA TAMKO KUVAMIWA GEITA....LAFUNGWA "HII NI KUFURU KUBWA SANA, KANISA LIMENAJISIWA"





Sehemu ya uharibifu uliofanywa
Kufuatia taarifa za mtu asiyefahamika kuvamia na kuingia ndani ya kanisa Katoliki jimbo la Geita na kufanya uharibifu katika altare na sakrestia na kuvunja tabernakulo, kumwaga ekaristi takatifu na kuchana kitabu kitakatifu Biblia sambamba na kuharibu mfumo wa camera za ulinzi, kanisa hilo limefungwa kwa muda





.





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com