Karibu Mama D Food kwa huduma ya vyakula katika shughuli mbalimbali kama Harusi, Send Off, Kitchen Party, Vikao,Semina, Mikutano , Birthday, Kipaimara, misiba, sherehe aina zote n.k
Pia Tunakodisha vyombo vya kusevia chakula katika shughuli mbalimbali (Hotpot, Save dishes na Sahani)
Tunapatikana Mjini Shinyanga
Tunatoa huduma popote ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga
Wasiliana na Mama D Food simu 0758418056 au 0655399438
Social Plugin