Ebwanaaa eheh! Ule mchongo wa Uefa Champions League umedondoka tena leo na umeanguikia siku fresh kabisa ya Valentine.
M-Bet nyumba ya mabingwa wamekuwekea odds bomba za leo ukitusua ukavinjari na uwapendao.
UCL itakipiga kwa siku mbili yaani leo na kesho na kumbuka pia hii ni hatua ya 16 bora kuelekea safari ya fainali.
Hebu cheki kwanza tips za game za leo kabla haujatia mpunga wako M-Bet nyumba ya mabingwa kwani ukiliwa umejitakia.
AC Milan vs. Tottenham Hotspur
Huu utakuwa ni mchezo wa tano wa kiushindani kati ya AC Milan na Tottenham Hotspur, huku Waingereza wakiwa hawajapoteza kwa kila mechi kati ya mechi nne zilizopita. Tabiri game hili utusue na M-Bet.
Spurs wamecheza huko Giuseppe Meazza mara tatu zilizopita kwenye UEFA Champions League, na ushindi wao mmoja ulikuja dhidi ya AC Milan (vipigo viwili dhidi ya Internazionale).
Kwa data hizi mapema sana katie mpunga wako M-Bet maana mshindi ushamjua au unaonaje?
Game nyingine kali ndani ya M-Bet kwenye ligi ya mabingwa leo ni Paris Saint-Germain vs. Bayern Munich
Paris Saint-Germain wamekutana na Bayern Munich mara 11 zilizopita, huku zote zikitoka kwenye UEFA Champions League. Timu hizo zimetenganishwa na ushindi mmoja pekee (sita kwa PSG na tano kwa Bayern), huku pande zote zikiwa zimefunga idadi sawa ya mabao (15 kila moja).
Mchongo mwingine wa UCL uko Jumatano Club Brugge vs Benfica Lisbon, Borussia Dortmund vs Chelsea FC. ODDS bomba ziko M-Bet usisahau hilo.
M-Bet ambayo ni mdhamini wa klabu ya Simba kwa udhamini wa miaka mitano mfululizo wenye thamani ya Bilioni 26 inajulikana kwa kutoa mamilinionea kupitia Jackpot ya Perfect12.
Moja ya hizo ni Perfect 12 jackpot ambayo inakuwezesha kushinda zaidi ya milioni 338 kwa buku tu.
Mrisho Selemani
Social Plugin