Sheikh Alhad Mussa
Uamuzi wa kumtengua Sheikh Alhad umekuja ikiwa imepita wiki moja tangu, kiongozi huyo alipotangaza kuivunja ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka Juma maarufu kwa jina la Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja Januari 25 mwaka huu, kufuatia ombi la mwanamke huyo kudai talaka.
Hata hivyo, siku mbili baadaye, yaani Januari 27, Baraza la Ulamaa lilikutana kwa dharura na kubatilisha uamuzi huo.
Social Plugin