Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AJALI YAUA 12 DODOMA


******* 

 Dodoma 

WATU 12 wamepoteza maisha baada ya basi a Frester lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar es salaam kugongana uso kwa uso na Lori la Texas majira usiku wa kuamkia leo. 

Ajali hiyo imetokea eneo Kiiji Cha Silwa wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma. 

Katibu Tawala mkoa wa Dodoma Dk Fatma Mganga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo watu 12 wamepoteza maisha. 

Álisema mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule yuko eneo la tukio. 

mwisho

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com